Mpole mimi
JF-Expert Member
- Nov 29, 2014
- 315
- 104
hana ndugu? wanaoweza kumsaidia? strangers wa huku mtandaoni sio wa kuaminika wanaweza kumsaidia kwa manufaa yao kama sio mlemavu ana viungo kamili mwambie ajitahidi kutafuta hata kibarua
Hii dunia iache kama ilivyo ndugu yangu! Unaweza kukuta huyo ana ndugu na wanauwezo wa kumsaidia vizuri tu lakini sijui nini huwa kinatokea...
Ndugu hawasaidii kabisa hadi unajiuliza umekosea wapi au umewakosea nini.
Huyo alozaa nae hakumbuki hata kama kuna mtoto.
Kila unachojaribu kufanya kinashindikana.
Haya maisha unaweza kujiuliza unaishi ili iwaje, mwisho wake nini. Na inawezekana kabisa mtu ambaye hata hukutarajia ndio anakuokoa kwenye hali hii.
Inaumiza sana...... .
we umefikia wapi katika msaada wako, maana usikute unamuombea hapa we mwenyew hujamsaidia chochote
Utafikiri ulikuwepo maana ndo kinachoendelea hadi namuonea huruma.
Rudi kwanza kamuulize anaweza kufanya biashara gani? kwa mtaji wa sh ngapi???? alafu njoo na mchanganuo wa biashara. sio za kwenda china, sijui. biashara ndogo ndogo. tuanzie hapo.
ANGALIZO; Sio kwamba nimeahidi kumsaidia hapana, ila nitaangalia wapi au nani au kwanamna gani anaweza pata mtaji.
Mpe pole
^^
Taaabuu wanaume wanazowapa watoto wa kike. Atafute kazi ya housegirl kwa mtu haswa mtu mzima kidogo muelewa ili awe na hakika ya mahali pa kula na kulala na bado analea mwanae
Mpe pole
^^