Simbamteme JF-Expert Member Joined Sep 10, 2011 Posts 808 Reaction score 2,172 Jan 10, 2014 #1 simu yangu s4 galaxy ukichange kuweka mtandao wa 3g haitaki,inakubali GSM tu..nimejaribu kuiset mpaka nimechoka lakini wapi.Msaada kwa anaeweza kunisaidia
simu yangu s4 galaxy ukichange kuweka mtandao wa 3g haitaki,inakubali GSM tu..nimejaribu kuiset mpaka nimechoka lakini wapi.Msaada kwa anaeweza kunisaidia