Msaada tafadhali.

Msaada tafadhali.

ngalyas_t

Senior Member
Joined
Dec 5, 2012
Posts
175
Reaction score
58
Nina Samsung Galaxy S Advance I9070. Nili-upgrade os kwenda Android 4.1.2 Jelly Bean. Nilitumia Odin3.7 na nikafuata taratibu (upgrading procedures) zote hadi mwisho finally ikaniambia PASS. Tatizo ni ilivyoanza ku-restart ndo ikazima moja kwa moja hadi sasa na sijapata means ya kuweza rectify bootloader (nahisi bootloader ime-crash ila sina uhakika). Sijajua kama naweza kupata njia mbadala ili irejee katika utendaji wake wakawaida? Kwa yeyote mwenye uelewa namna nitakavyotatua hilo tatizo au anauwezo wa kulirekebisha nataraji uwepo wako. Natanguliza shukrani kwako mwana JF.
 
Back
Top Bottom