yeyote ambaye anajua jinsi ya ku convert PS2 ISO game to elf anijulishe......
Thanks..
[MENTION]Usitumie KICHWA kufugia nywele tu, kitumie zaidi KUFIKIRI.[/MENTION]
yeyote ambaye anajua jinsi ya ku convert PS2 ISO game to elf anijulishe......
Thanks.. Usitumie KICHWA kufugia nywele tu, kitumie zaidi KUFIKIRI.[/MENTION]
Kama unataka kuhamisha CD yako kwa ujumla na uiweke kwenye single Elf file kubwa hiyo itakuwa ngumu.
Ukitaka kucheza hizo PS2 games kutoka kwenye HDD inabidi uiweke ISO content kama ilivyo kwenye special partition ndani ya HDD.
Baada ya hapo utabidi kuinstall program maalum ambayo utaitumia kuload hizo PS2 games ambazo zitatumia game codes na itakuwa kama unaanza hizo game kutoka kwenye CD/DVD drive.
Hiyo program inaitwa HDLoader na ni program nzuri tu za ELF unayoweza kuitumia ku-load game zako kama ULaunch ELF.
Kwahio tafuta hizo HDloader na ULaunch na uziweke kwenye special partition na baadae uwe unaweza kufanya launch na kufaidi uhondo wa hizo game zako.
Fuata link ifuatayo na usome namna ya kufanya hizo installations.