K kipochi Member Joined Jul 2, 2013 Posts 35 Reaction score 25 Jul 3, 2013 #1 Naomba msaada wakuelekezwa jinsi ya kucoment katika blogs mbalimbali.ni vipi nitakua member?
amu JF-Expert Member Joined Aug 8, 2012 Posts 16,171 Reaction score 31,357 Jul 3, 2013 #2 Duh hapo mwenyewe umejipinda kuuliza
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,352 Reaction score 111,633 Jul 3, 2013 #3 Blogs zipi hizo? Kama unaulizia kwa hizi zenye extension ya blogspot, yakupasa uwe na account ya gmail au wakati mwingine unaweza comment kama anonymous.
Blogs zipi hizo? Kama unaulizia kwa hizi zenye extension ya blogspot, yakupasa uwe na account ya gmail au wakati mwingine unaweza comment kama anonymous.
carter JF-Expert Member Joined Jan 23, 2009 Posts 3,664 Reaction score 4,274 Jul 3, 2013 #4 Manyoya ama?....ur name i mean!
Heaven on Earth Platinum Member Joined Mar 21, 2013 Posts 37,236 Reaction score 26,770 Jul 3, 2013 #5 kipochi said: Naomba msaada wakuelekezwa jinsi ya kucoment katika blogs mbalimbali.ni vipi nitakua member? Click to expand... blog ya sinta na mange!!!!!!!
kipochi said: Naomba msaada wakuelekezwa jinsi ya kucoment katika blogs mbalimbali.ni vipi nitakua member? Click to expand... blog ya sinta na mange!!!!!!!