Msaada tafadhali.

MotoYaMbongo

JF-Expert Member
Joined
Jan 7, 2008
Posts
2,146
Reaction score
887
Simu yangu Nokia N73 haifungui bluetooth, naombeni mwenye utaalam anipe msaada cha kufanya. Kila nikiweka ON inaandika unable to perform bluetooth operation. msaada please.
 
fanya Hardware restore.. Piga *#7370# weka password ya cmu yako.. Utakua Umemaliza.... Ila v2 vyote vtafutika so Fanya backup kwanza
 
fanya Hardware restore.. Piga *#7370# weka password ya cmu yako.. Utakua Umemaliza.... Ila v2 vyote vtafutika so Fanya backup kwanza

mkuu je hizo code zinaaply kwa simu yeyote?
 
Nimejaribu hiyo *#7370# lakini imegoma kufungua.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…