Hellow wana Jf, salam kwenu. Namtafuta msichana ambae namkumbuka kwa jina moja tu Selina, ni mtu wa mbeya. Nilipotezana naye tangu mwaka 2011. Yeye ni graduate wa Computer Science Udsm mwaka 2011.
Nilikutana naye Mwanjelwa, soko la sido enzi hizo nauza nguo. But later tukakutana uwanja wa ndege wa JKIA alikuwa anaenda Mwanza. Tangu cku ile mawasiliano yetu yakakatika