Msaada Tafadhali | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msaada Tafadhali

Discussion in 'Jukwaa la Sheria (The Law Forum)' started by Jilanga, Aug 24, 2011.

 1. Jilanga

  Jilanga JF-Expert Member

  #1
  Aug 24, 2011
  Joined: Feb 13, 2011
  Messages: 254
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Great thinkers, Habari zenu! Tafadhali mlo na weledi katika taaluma ya Sheria, naomba kujua procedures kwa mtu aliyechezea kichapo cha mbwa mwizi! Kuna rafiki yangu jinsia ya kike but not gf baada ya kumfuma her bf akinyonga gashi mwingine alimletea shari by saa 18:15 akala kichapo hajui wapi atadai haki zake na ni hatua zip apitie?
  MSAADA TAFADHALI.
   
Loading...