msaada tafadhali

James St. Patrick

Senior Member
Joined
Jun 23, 2011
Posts
169
Reaction score
71
naomba yeyote anayeweza kunisaidia jinsi ya kuweza ku-install TTPod {application/software ambayo inaweza ku play lyrics za wimbo unapo play miziki ya kizungu kwenye simu} mi natumia nokia 5320 xpressmusic nimekua nikishindwa kuinstall kwan kila nikijaribu inakuja 'unable to instal untrusted application from untrusted supplier!' nisaidien wana JF.
 
unatakiwa ku-hack simu yako ili uweze ku-install untrusted apps, ipo topic humu inazungumzi hacking and signing itafute, au nenda hapa tatizo lako litaisha hack no PC
 
nop usihack simu bro nina solution bila kuhack kwanza angalia hilo file unalo download ni sisx au sis kama ni sisx rename liwe sis halafu watakiwa udownload mobile signer yangu na certificate zangu ambazo utazipata hapa XtGem.com then sign software yako utaweza itumia. Kama hujaelewa pm me
 
Sasa mkuu cert and key zinatokana imei na kila simu ina imei yake, hakuna njia ya mkato
...Just Hack Kit 1.01 S60v3/S60v5/S^3..(Fidanza) - Frendz Forum
au
[TUT] Get UR Certificates -.Cer & .key In 2 Minutes - Frendz Forum

wala huwezi kutumia data za simu nyengine kwenye simu yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…