Godhelp Member Joined Feb 25, 2011 Posts 91 Reaction score 66 Jul 29, 2017 #1 Jamani ninhitaji kusoma course ya Business adminstration lakini naomba mnijuze naweza kuwa Hr hasa kwenye ofisi za serikali???? Kwa wenye uelewa na hili Samsung J7
Jamani ninhitaji kusoma course ya Business adminstration lakini naomba mnijuze naweza kuwa Hr hasa kwenye ofisi za serikali???? Kwa wenye uelewa na hili Samsung J7
byeyombo JF-Expert Member Joined Sep 3, 2015 Posts 4,352 Reaction score 5,615 Jul 29, 2017 #2 Ndio.......Anything is possible.
Joseverest JF-Expert Member Joined Sep 25, 2013 Posts 53,333 Reaction score 72,656 Jul 29, 2017 #3 Kasomee Human Resource Management kama unataka kuwa HR
Godhelp Member Joined Feb 25, 2011 Posts 91 Reaction score 66 Jul 29, 2017 Thread starter #4 Tatizo Dodoma hakuna vyuo vya Human resource Evening class na mm nilipenda nianze shule mwaka huu huku naendrlea na michakato yangu Samsung J7
Tatizo Dodoma hakuna vyuo vya Human resource Evening class na mm nilipenda nianze shule mwaka huu huku naendrlea na michakato yangu Samsung J7