memory card
JF-Expert Member
- Dec 17, 2013
- 256
- 163
mimi ni muhitimu kutoka UDOM nilimaliza mwaka jana,ila hatukusaini ada ya semister ya mwisho kutoka bodi ya mikopo ila nasikia majina yametoka na tunatakiwa tukasaini,maana usiposaini utahesabika hukulipa,,,,na ukiangalia niko NANTWENGE huku ndani ndani yaani kutoka huku hadi UDOM,mhhhhh nauli yake sisemi,,hujalala gesti hapo,hujala...NA HUU USAWA WA MUHESHIMIWA MHHHH....
naomba kama alternative inatumika jamani mnisaidie ili nifanikishe hili tafadhali.
naomba kama alternative inatumika jamani mnisaidie ili nifanikishe hili tafadhali.