frank nyalu
Member
- Aug 17, 2016
- 20
- 10
Naomba kupewa ufafanuzi kuhusu kozi hiz Mediacal Officer na Clinical Officer. kozi ipi inafuture mzuri kwa maana unaweza kuanza nayo kwa ngazi ya diploma mpanga ngazi ya juu zaid, kazi za kila mmoja,na vigezo vya kusoma hizi kozi, kwa watu ambao hatukusoma physics ila tulisoma Engineering science je tunaruhusiwa.Tafadhali nisaidien