Habari wanaTEGAS rejea hapo juu
Laptop yangu aina ya IBM nikiiwasha inaishia kuniandikia maneno haya TFGHT is compressed
Press Ctrl+Alt+Del to restart nimefuata process hiyo mara nyingi sana lakini bado inaishia hapo hapo naombeni msaada nifanyeje iweze kuwaka?Natanguliza shukrani