Midwifery ni wakunga(wanazalisha) nursing wauguzi...Naomba ufafanuzi. Nani anaomba (Kuna tofauti gani) Muhimbili school of midwifery and nursing na Muhimbili school of nursing? Kuna tofauti gani kati ya vyuo hivyo viwili
Kwa hiyo muhimbili kuna shule wanafundisha uuguzi na nyingine wanafundisha ukunga na uuguzi. tazama guidebook NACTE, kuna muhimbili school of midwifery and nursing na nursing...
Siwezi nikajibu apa.... nafahamu degree wanaschool of nursing na mwanzo wanasoma wote ila baadae wanatofautiana. Kwa nacte mm ni giza.Kwa hiyo muhimbili kuna shule wanafundisha uuguzi na nyingine wanafundisha ukunga na uuguzi. tazama guidebook NACTE, kuna muhimbili school of midwifery and nursing na nursing...
Midwfery ni tawi na Nursing linahosika na jinsi ya kuhudumia mama mjamzito kabla, wakati wa kujifungua na baada ya kujifunguaKwa hiyo muhimbili kuna shule wanafundisha uuguzi na nyingine wanafundisha ukunga na uuguzi. tazama guidebook NACTE, kuna muhimbili school of midwifery and nursing na nursing...
asante sana rafiki kwa ufafanuzi murua. Thanks again!Midwfery ni tawi na Nursing linahosika na jinsi ya kuhudumia mama mjamzito kabla, wakati wa kujifungua na baada ya kujifungua
Pia caring ya watoto chini ya miaka mitano(RCH)
Apo kwenye muhimbili ipo hivi
Muhimbili university upande wa diploma(IHAS) ina shule ya Nursing inayotoa diploma ya Nursing general
Lakini shule ya nursing midfery ipo chini ya Wizara ya afya na Muhimbili hospital ni teaching centre tu,masuala yote ya uendeshaji wa shule hii ni kutoka wizarani ata ada huwa wanalipa wizaran..wanaitegemea Muhimbili kwa Accomodation tu
Mkuu hivo muhimbili midwifery ,inatoa general nurse ila tofauti yake na muhas ni kwamba IPO chini ya wizara ya afya?Midwfery ni tawi na Nursing linahosika na jinsi ya kuhudumia mama mjamzito kabla, wakati wa kujifungua na baada ya kujifungua
Pia caring ya watoto chini ya miaka mitano(RCH)
Apo kwenye muhimbili ipo hivi
Muhimbili university upande wa diploma(IHAS) ina shule ya Nursing inayotoa diploma ya Nursing general
Lakini shule ya nursing midfery ipo chini ya Wizara ya afya na Muhimbili hospital ni teaching centre tu,masuala yote ya uendeshaji wa shule hii ni kutoka wizarani ata ada huwa wanalipa wizaran..wanaitegemea Muhimbili kwa Accomodation tu
Ili kuelewa vizuri unatakiwa utofautishe kati ya Muhimbili university(MUHAS), Muhimbili hospital(MNH),Muhimbili school of midwiferyMkuu hivo muhimbili midwifery ,inatoa general nurse ila tofauti yake na muhas ni kwamba IPO chini ya wizara ya afya?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ahsante mkuu,nimeelew ;;naomb nkuulize wao(muhimbili school of midwifery) pia c wanatoa diploma in nurse kama general?Ili kuelewa vizuri unatakiwa utofautishe kati ya Muhimbili university(MUHAS), Muhimbili hospital(MNH),Muhimbili school of midwifery
Wanafunzi wa MUHAS wanaitumia MNH kama hospitali yao ya kujifunzia huku academical na finance issues zao zikiwa chini ya MUHAS
hivyo hivyo Muhimbili school of midwfery wanaitumia MNH kujifunzia huku academical na finance issues zao zikiwa chini ya Wizara ya Afya
Pia kwenye malazi wote wanalala majengo yanayomilikiwa na MNH hivyo MNH ndo inayowaunganisha
Muhimbili school of midwifery hawana diploma nyengine zaidi ya nursing midferyAhsante mkuu,nimeelew ;;naomb nkuulize wao(muhimbili school of midwifery) pia c wanatoa diploma in nurse kama general?
Sent using Jamii Forums mobile app