Msaada tafadhali TECNO F8

Ta Castor

Member
Joined
Jul 7, 2012
Posts
78
Reaction score
39
Simu tajwa hapo juu inatatizo la kuzima screen wakati wa kupiga/kupokea simu, nashindwa hata kukata simu pindi nnapokuwa nimepiga au kupigiwa msaada tafadhali kwa wenye maujuzi, natanguliza shukrani.
 
Peleka kwa fundi sensa itakuwa mbovu wakaibadilishe au kuitoa kabisa
 
Simu tajwa hapo juu inatatizo la kuzima screen wakati wa kupiga/kupokea simu, nashindwa hata kukata simu pindi nnapokuwa nimepiga au kupigiwa msaada tafadhali kwa wenye maujuzi, natanguliza shukrani.

Nenda kwenye call setting angalia kama ipo kwenye turnoff screen when calling or receiving call then dissable ikishindikana nenda kwa fundi ukacheki sensor
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…