Najua hapa si mahala pake ila ndo penye wengi wapendwa nahitaji msaada wenu.
Nilireport mtu kunitishia maisha kituo kimoja cha polisi hapa dar,nikapewa RB.baada ya siku mbili nikapigiwa simu
na polisi ambaye alijitambulisha kama mpelelezi wa kesi yangu, akaniambia niende anisikilize,kesho yake nikaenda. nikamsimulia kisa chote. sasa polisi kutaka hela eti amenifanyia counselling halafu akamuita na yule mshtakiwa nae akamtoa hela na akamfanya wawe marafiki wakaenda bar kunywa.
kesho yake yule polisi akaniita tena kunipa feedback ya alichokisikia kutoka kwa mshtakiwa.badala ya kunipa feedback sasa akaanza kunitongoza alivyoona sielekei akanambia kwa kuwa sitaki mshtakiwa aende mahakamani basi inabidi tufunge kesi na itanibidi nilipie dolar mia nne, nikashangaa sana.nikamwambia mimi sina hela.akasema hata laki mbili mana wako wengi pale mkuu wa kituo kufunga kesi anaona kama ni usumbufu na maelezo meengi.mi nikachoka sasa nimeamua simpokei simu yake tena.lakini anatuma msg kuuliza nitaenda lini kufunga kesi.
nahitaji kujua, je nikifungua jalada nikapewa RB je ni lazima kufunga kesi?kama ndio je inalipiwa kufunga hiyo kesi? what if nahitaji bado kuitumia hiyo RB just incase mshtakiwa akikurupuka kunitishia tena? nahitaji mwongozo wenu please.
Sina haja ya kusoma post yako kwa sababu umesema si mahala pake jua kitu chochote kikikaa sehemu ambayo si mahala pake ni uchafu.

kisheria hutakiwi kulipia gharama yoyote ile kesi inafutwa then unatia sign mchezo umekwisha..hamna gharama za kufungua wala kufunga jalada...over..tena nahisi kesha jua hujui haki zako kama vipi muulize swali hili anatumia kifungu kipi cha sheria kuhalalisha ulipaji wa ufungaji wa hilo jalada..amini..hatakusumbua au mwambie ngoja niwasiliane na mwanasheria wangu..uone lazima atakaaa.....Najua hapa si mahala pake ila ndo penye wengi wapendwa nahitaji msaada wenu.
Nilireport mtu kunitishia maisha kituo kimoja cha polisi hapa dar,nikapewa RB.baada ya siku mbili nikapigiwa simu
na polisi ambaye alijitambulisha kama mpelelezi wa kesi yangu, akaniambia niende anisikilize,kesho yake nikaenda. nikamsimulia kisa chote. sasa polisi kutaka hela eti amenifanyia counselling halafu akamuita na yule mshtakiwa nae akamtoa hela na akamfanya wawe marafiki wakaenda bar kunywa.
kesho yake yule polisi akaniita tena kunipa feedback ya alichokisikia kutoka kwa mshtakiwa.badala ya kunipa feedback sasa akaanza kunitongoza alivyoona sielekei akanambia kwa kuwa sitaki mshtakiwa aende mahakamani basi inabidi tufunge kesi na itanibidi nilipie dolar mia nne, nikashangaa sana.nikamwambia mimi sina hela.akasema hata laki mbili mana wako wengi pale mkuu wa kituo kufunga kesi anaona kama ni usumbufu na maelezo meengi.mi nikachoka sasa nimeamua simpokei simu yake tena.lakini anatuma msg kuuliza nitaenda lini kufunga kesi.
nahitaji kujua, je nikifungua jalada nikapewa RB je ni lazima kufunga kesi?kama ndio je inalipiwa kufunga hiyo kesi? what if nahitaji bado kuitumia hiyo RB just incase mshtakiwa akikurupuka kunitishia tena? nahitaji mwongozo wenu please.
Najua hapa si mahala pake ila ndo penye wengi wapendwa nahitaji msaada wenu.
Nilireport mtu kunitishia maisha kituo kimoja cha polisi hapa dar,nikapewa RB.baada ya siku mbili nikapigiwa simu
na polisi ambaye alijitambulisha kama mpelelezi wa kesi yangu, akaniambia niende anisikilize,kesho yake nikaenda. nikamsimulia kisa chote. sasa polisi kutaka hela eti amenifanyia counselling halafu akamuita na yule mshtakiwa nae akamtoa hela na akamfanya wawe marafiki wakaenda bar kunywa.
kesho yake yule polisi akaniita tena kunipa feedback ya alichokisikia kutoka kwa mshtakiwa.badala ya kunipa feedback sasa akaanza kunitongoza alivyoona sielekei akanambia kwa kuwa sitaki mshtakiwa aende mahakamani basi inabidi tufunge kesi na itanibidi nilipie dolar mia nne, nikashangaa sana.nikamwambia mimi sina hela.akasema hata laki mbili mana wako wengi pale mkuu wa kituo kufunga kesi anaona kama ni usumbufu na maelezo meengi.mi nikachoka sasa nimeamua simpokei simu yake tena.lakini anatuma msg kuuliza nitaenda lini kufunga kesi.
nahitaji kujua, je nikifungua jalada nikapewa RB je ni lazima kufunga kesi?kama ndio je inalipiwa kufunga hiyo kesi? what if nahitaji bado kuitumia hiyo RB just incase mshtakiwa akikurupuka kunitishia tena? nahitaji mwongozo wenu please.
nahitaji kujua, je nikifungua jalada nikapewa RB je ni lazima kufunga kesi?kama ndio je inalipiwa kufunga hiyo kesi? what if nahitaji bado kuitumia hiyo RB just incase mshtakiwa akikurupuka kunitishia tena? nahitaji mwongozo wenu please.
duh hii mambo imefikaje huku
kisheria (kama zinafatwa) kufungua kesi ni bure na kufunga pia ilimradi haija fika mahakamani ni bure.
ukitoa taarifa inayoingizwa kwenye report book (RB), unapewa kikaratasi fulani chenye reference number ya hiyo taarifa yako iliyoingizwa kwenye report book.
maana yake umetoa taarifa na umwonapo mtuhumiwa unaweza kutoa taarifa kwa polisi yoyote aliye karibu nawe ili amkamate na kumfikisha kwenye kituo ulicho fungulia kesi
rb ina expire kwa kesi ambayo wewe na unaye mtuhumu mme amua kuya maliza mbele ya polisi au mmefikishana mpaka mahakamani na hakimu akatoa uamuzi. pia sheria huwa inazuia makosa kufufuliwa baada ya muda fulani uliowekwa kupita (angalia law of limitation act) otherwise unaweza kuitumia
Asante nash.sasa namsubiria
apige tena simu nimuulize maswali ya kipolisi na yeye atajuta..kesi
nifungue mimi afu anisumbue yeye hawa mapolisi njaa sijui
vipi..ubarikiwe.
Kuna tofauti kati ya kutoa taarifa ya kutishiwa na kufungua jalada la mashtaka. Polisi wanajua jinsi ya kula hela ya wasiojua sheria.Ww nae una njaa,ss ulifungua kesi ya nn kama hutaki kwenda mahakamani?