Asante kwa waliokuwa na positive attitude kwa yaliyonikuta!Linaweza kumtokea mtu yeyote yule!
Nilichojifunza kupitia janga lililonikuta, Kuwa jeshi la mtu mmoja kwa maana ya kuwa man alone mara nyingi inatokea kutokana na roho mbaya za watu!
Mi mtu naamini ameficha cheti changu lakini Namshukuru Mungu nimepata some documents za kuendelea kunitambua while suala langu linashughulikiwa