Msaada tafadhali: Ni shirika gani naweza kupata mkopo?

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
19,472
25,398
Wakuu,

Mimi ni kijana wa kiume ambaye ninasoma chuo hapa DSM.

Shida yangu ni kuwa nahitaji kujua ni mashirika gani au ni wapi naweza pata udhamino wa mkopo mkopo wenye riba nafuu ili niweze kufungua biashara.


Nahitaji mkopo wa laki 3 tu basi
 
Back
Top Bottom