Hapa chini ni tiketi ya kusafirisha mzigo ya Superfeo/Selou. Hicho ulichokiandika ni uwongo, wala hujamalizia kwenye mazingira yepi.
View attachment 2840019
Masherti yao ni haya;
1. Mzigo utasafirishwa kwa dhamana ya mmiliki wa mzigo.
2. Kampuni haihusiki na kilichomo ndani ya mzigo, itahusika endapo mteja atalipa 50% ya thamani ya mzigo.
3. Kampuni haitahusika na kuvunjika kupungua au kuungua kwa mzigo endapo kutatokea ajali ya moto, kutekwa n.k
Hicho ulichokiandka umekitoa wapi??? Unajua mikataba huwa inakataa kuhusika na natural disasters au yote yaliyo nje ya control ya walioingia mkataba?