St. Paka Mweusi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2010 Posts 7,994 Reaction score 5,233 May 24, 2013 #1 Naomba kwa mtu yeyote mwenye kujua process anieleweshe ikiwamo Licence fees na mengineyo.Na pia kama kuna yeyote mwenye sehemu ya kupangisha(inayofaa kwa shughuli hiyo) kati ya Kimara au Tegeta tuwasiliane kwa majadiliano zaidi..
Naomba kwa mtu yeyote mwenye kujua process anieleweshe ikiwamo Licence fees na mengineyo.Na pia kama kuna yeyote mwenye sehemu ya kupangisha(inayofaa kwa shughuli hiyo) kati ya Kimara au Tegeta tuwasiliane kwa majadiliano zaidi..