Msaada tafadhali. Modem ya Airtel

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
5,140
Reaction score
10,858
P'se,

Nawezaje kutumia modem hiyo kwanye mtandao mwingine?
Ni Huawei.
 
P'se,

Nawezaje kutumia modem hiyo kwanye mtandao mwingine?
Ni Huawei.
Mkuu ni vizuri zaidi ungetaja model ya modem yako, kwa kuwa njia za ku-unlock modems zinatofautiana kulingana na models, kuna threads nyingi tu ambazo members mbalimbali wameweka tutorilas nzuri za ku-unlock modem za Huawei. Hivyo ya kwako inaweza kuwa ilishajadiliwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…