Msaada tafadhali (Mod hii thiridi naomba usimove)

lazima maana imeshanitokeaga tena hii ishu wakati flani nikiwa na njaa hivyo hivyo.....
kutenda kosa sio kosa bali kurudia kosa ndio kosa, ulikosa mda wa kwenda kulaa au??
 
Hahahahahaaha! Mshukuru sana Mungu, amekuepushia kitu kikubwa sanaaa! inawezekana UNGENASIA .
 

Kuwa na njaa sio issue.Muhimu muone Doctor cut down all fat foods.
 

Duh hii thread bana..

Haya kwanini hukunywa chai?

Kwanini ulikuwa na haraka??

kuna mambo mengine ni kuyafanyia kazi binafsi

kwa ushauri zaidi nenda kamwone daktari
 
gal alikuwa? so angekuwa H.I.V +ve ingekubali kuingia mzigoni!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!! hapo ameepushwa na nn?
 
ulishindwa kuiuliza kwa wakat huo? basi imeanza tabia ya kiburi ichukulie hatua hatua za kinidhamu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…