Msaada tafadhali Mbeya City

Msaada tafadhali Mbeya City

Team JPM

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2018
Posts
1,303
Reaction score
2,018
Kwa waishio mbeya, Naomba kufahamu Lodge nzuri ya sh 10,000 hadi 15,000 hapo Mbeya jijini, jirani na stendi kuu. Ahsanteni
 
achana na huko wee njoo uyole maana huko watoto wa matola na mabatini watakupiga nondo
 
New Millennium, mlango wa kuingilia angalia upande wa pili wa barabara
 
New Millennium miaka zaidi ya 10 nyuma, chumba ilikuwa 16,000 saizi itakuwa shingapi? Na bajeti ya mleta post anasema 10-15K.
 
achana na huko wee njoo uyole maana huko watoto wa matola na mabatini watakupiga nondo
Usiende kabisa Uyole,lodge ya 20,000/= hovyo,masuala ya usafi zero! Sasa kwa hiyo ya 10 au 15 sijui itakiwaje.bora millennium Inn pale stand iko poa.
 
New Millennium miaka zaidi ya 10 nyuma, chumba ilikuwa 16,000 saizi itakuwa shingapi? Na bajeti ya mleta post anasema 10-15K.
Hawajabadili bei ila bado mazingira yako vizuri kuliko eneo lolote jirani na stand na kama pamejaa unapelekwa Mabatini.
 
Mkuu labda nataka changia mafuta twende wote.

Usiwaze negative mkuu.Maisha ya ss mtu mwenyew kwa nafsi yake ni muhimu sanaaaa awe na upendo Kwa mwenzake.Kama kuna mtu atakutendea ubaya then will be countable mbele za mwenyezi Mungu.

Fear fear.
Upo wapi na waenda Lini?, Kiusalama si maswali ya kujibiwa.
 
Mwezi uliopita mie nililala pale huduma ni nzuri tu vyumba vipo kuanzia 20,000/= na kuendelea
 
Nawashukuru nyote, nitalala mojawapo ya hizo mlizonielekeza Uyole, Kwenzulu ama New Milenium. Mbarikiwe sana
 
Tafuta ndugu bhana ukae usevu mpunga au hutaki kero
 
ongeza bajeti ulale sehemu nzuri..acha ubahili mkuu
 
Sio ubahili, MTU unalala lodge inayoendana na hadhi yako. Kujipaisha safarini ni ushamba. Kama nyumbani unalalia kitanda 3x6, jizoeze hivyo hivyo
ongeza bajeti ulale sehemu nzuri..acha ubahili mkuu
 
Kuna md
Hawajabadili bei ila bado mazingira yako vizuri kuliko eneo lolote jirani na stand na kama pamejaa unapelekwa Mabatini.
Kuna mdau kasema imefikia 20K, ni muda mrefu sana sijalala lodge za around stand, kwanza enzi hizo sikujua kama ile lodge ina bei nafuu hivyo, nilikuwa nalala Mtambo, Katumba, Eden, au Matamba, siku moja nikajilipua New Millenium, nilijilaumu kwa nini sikupafahamu mapema.
 
Vipo vya 20k na 15k

Back
Top Bottom