chilumendo
JF-Expert Member
- Oct 26, 2013
- 3,434
- 4,495
Hii keyboard ya nje naipataje mkuu?kama hiyo keyboad siyo fullkeyboard
Jaribu hii chomeka KEYBOAD ya nje then toa NUMBLOCK kile kitaa cha kwenye keyboard uliyochemekaa nje kijizime then chomoa hiyo keyboard kisha jaribu tena hizo herufi kama zitakubari
Nimetest imegomakuna nyingine ndio zilikosewa hivyo hivyo toka kiwandani.
Hebu jaribi kwanza kutype hizo namba uone kama zitatokea herufi
Sent using Jamii Forums mobile app
Ngoja nijaribu mkuu
Nilijaribu lakini nahisi nakosea,
Izo plas hauweki yani iyo ni sequence ya kufuata anachomaanisha kwenye + ni kuwa unabonyeza bila kuachia cha mwanzo yani hapo unaanzaNilijaribu lakini nahisi nakosea,
Zile plus ulizoweka ninapobonjeza niziweke?
Herufi ulizonitumia nitumie hizohizo au niweke zote zinazomisi?
Asante mkuu
Asante mkuu ngoja nikatest.Unabonyeza vyote alivyokuelekeza mdau hapo juu ula unafuata mlolongo bila kuachia yan ukianza na ctrl alafu kinachofuatia bila kuondoka vidole kwenye keyboard
Sent using Jamii Forums mobile app