Ukiingia BIOS SetUp hdd unaiona? kuna uwezekano mkubwa kuwa hdd sio nzima, itoe kwenye Laptop then washa computer...ikiwaka na kukuambia haioni hdd utakuwa umepata kitu.....kama itafreeze hivyo hivyo ni issue ya Processor!! ila memory pia zinaweza kusababisha tatizo hilo.....
Umemaliza kwa kuwa ana knowledge na ni "blue hacker" anatakiwa acheki BIOS yake ina detetc device gani abla ya kuwaka . Kwa anavyosem anaonekana HDD ni kaputi.

Teh teh teh kaka umenimaliza...sikuwa nimeona kuwa mshikaji ni "hacker".... wamekuhack mzee...teh teh teh.. mla vya wenzake.....(jokin)
blue hacker hiyo ni Brand gani na model gani ya mashine. Sihani processor ya mashine zinaweza kufa kirahisi.hehe wakuu jina tu lisiwatishe. shukrani kwa ushirikiano wenu
Kama HDD iko njema basi inawezekana CMOS battery ndio imekufa au inapoteza kumbukumbu. So jaribu kucheza na seeting za BIOS na kuona time inayotambualaptop ni LG mkuu.ya zamani kidogo
Ukiingia BIOS SetUp hdd unaiona? kuna uwezekano mkubwa kuwa hdd sio nzima, itoe kwenye Laptop then washa computer...ikiwaka na kukuambia haioni hdd utakuwa umepata kitu.....kama itafreeze hivyo hivyo ni issue ya Processor!! ila memory pia zinaweza kusababisha tatizo hilo.....
Kama HDD iko njema basi inawezekana CMOS battery ndio imekufa au inapoteza kumbukumbu. So jaribu kucheza na seeting za BIOS na kuona time inayotambua
otheriwse kusema LG haisaidi sana mana LG zipo nyingi taja model tutandae google
tatizo haliwezi kuwa CMOS battery cu z hata kama CMOS battery ingekufa bado angeweza kuingia kwenye BIOS. Tatizo hapo linaweza likawa kwenye processor au motherboard