Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,106
siku chache zilizopita mpaka leo simu yangu imekuwa ikileta tatizo la kuishiwa na space kwenye memory card bila kuweka kitu. Yani unaweza kui free ikawa na MB 100 but mda mwngne inaisha hadi kufikia kwenye kbs.. pia imefuta folders kadhaa zenye picha na nyimbo pasipo mimi kufahamu.
Ni tatizo ambalo pia linasababisha vitu vingine vihfadhiwe kwenye memory ya simu{ambayo nayo sio kubwa}.
Natumia Netqin anti virus na Netqin mobile guard. Nimefanya virus scanning kwenye memory card na simu bt haijawah kukamata virusi.. Nimeshndwa kufahamu chanzo cha hlo tatizo.
Naombeni msaada wenu. Natanguliza shukrani.