Superbrand
JF-Expert Member
- Apr 6, 2013
- 509
- 158
wanakubali bwana! ila kwanini ukope huko kwa hao wezi,unalipa deni mara 3 zaidi !!!!!Mimi ni mtumishi wa serikali niliomba mkopo Bayport miaka mitatu iliyopita nimerejesha miaka miwili huu ni wa tatu bado miezi kumi nataka niwarudishie hela zao wasitishe makato nimeenda ofisi zao wana goma je nifanyeje
Pole sana, wezi hao..kwani hilo la kugoma ku-liquidate huo mkopo wao lipo kwenye masharti ya mkopo?
wanakubali bwana! ila kwanini ukope huko kwa hao wezi,unalipa deni mara 3 zaidi !!!!!
Kimsingi inapaswa iwe hivyo wa-calculate interest yao then ulipe tu yote, sasa kwa kuwa kuna utapeli ndani yake basi ndio maana hawataki umalize huo mkopo wao...pole sana, ila jaribu sana kukomaa na meneja afanye uungwana aiseeUnajua mkuu kosa langu sikusoma masharti kwani nilikuwa nashida sana wala sikupata muda wa kusoma ila niliwahi kumuuliza meneja wa branch ya moja wakaniambia lina wezekena kwa penalt ya instalment moja ila baada ya kwenda wanagoma mkuu
Mimi ni mtumishi wa serikali niliomba mkopo Bayport miaka mitatu iliyopita nimerejesha miaka miwili huu ni wa tatu bado miezi kumi nataka niwarudishie hela zao wasitishe makato nimeenda ofisi zao wana goma, je nifanyeje?
Unajua mkuu kosa langu sikusoma masharti kwani nilikuwa nashida sana wala sikupata muda wa kusoma ila niliwahi kumuuliza meneja wa branch ya moja wakaniambia lina wezekena kwa penalt ya instalment moja ila baada ya kwenda wanagoma mkuu