Msaada tafadhali ideos u8150

Jiwe Gangi

Member
Joined
Nov 27, 2014
Posts
42
Reaction score
5
waungwana naomba mnisahidie, kutatua tatizo langu natumia simu aina ya ideos u8150 inagoma kuinstall app ya instagram. pia hata katika play store haipo je nin tatizo? ni simu hiz za tigo
 
Ikuona app haipo play store wakati watumia simu yako ujue sime yenyewe haiwezi kumudu app hiyo.

Yaani simu yako ni ndogo; android version ni ndogo.
 
app ya play store ipo ila wakati mwingine inaitwa market angalia vizuri pia unaweza kuupdate version ya simu yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…