Msaada tafadhali, huu mstari una maana gani ..!!

Joined
May 13, 2014
Posts
25
Reaction score
2
Eti ukiwa mjanja kuchapiwa ni siri ya ndani, Mimi binafsi haka kamstari kananiacha hoi licha ya kuniacha njia panda kwa kuwa sikaelewi dizaini..wazee wa mjini tafadhali mnijuze.
 
Mie sikapendiiiiiiiiii.......Nawashangaa wanaume wenzangu wanaoufurahia huo wimbo!
 
Huwa sijui maana ake, ila huo wimbo siupendi.

Sent from my Nokia Lumia using Tapatalk
 
Ni kwamba mambo ya ndani ya ndoa yako ni siri yako,hiyo kuchapiwa imechukuliwa kama mfano.
 
yap ni siri tena hata humu hutakiwi kutujuza huo mstari unatia hasira basi tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…