Kifurukutu JF-Expert Member Joined Aug 29, 2013 Posts 4,666 Reaction score 6,742 Oct 3, 2014 #1 Npo mbali na benk na nashida ya pesa! Nahtaj kuelekezwa namna ya kuamisha pesa toka CRDB kwenda m pesa kwakutumia sim bank
Npo mbali na benk na nashida ya pesa! Nahtaj kuelekezwa namna ya kuamisha pesa toka CRDB kwenda m pesa kwakutumia sim bank
F FUNGA KAZI Member Joined Apr 2, 2012 Posts 18 Reaction score 4 Oct 3, 2014 #2 Geofrey christ said: Npo mbali na benk na nashida ya pesa! Nahtaj kuelekezwa namna ya kuamisha pesa toka CRDB kwenda m pesa kwakutumia sim bank Click to expand... Ingia kwenye menu ya sim banking then fuata maelekezo
Geofrey christ said: Npo mbali na benk na nashida ya pesa! Nahtaj kuelekezwa namna ya kuamisha pesa toka CRDB kwenda m pesa kwakutumia sim bank Click to expand... Ingia kwenye menu ya sim banking then fuata maelekezo
Njunwa Wamavoko JF-Expert Member Joined Aug 11, 2012 Posts 5,757 Reaction score 2,388 Oct 3, 2014 #3 Geofrey christ said: Npo mbali na benk na nashida ya pesa! Nahtaj kuelekezwa namna ya kuamisha pesa toka CRDB kwenda m pesa kwakutumia sim bank Click to expand... *150*03# Kama haujajisajili ndo basi tena
Geofrey christ said: Npo mbali na benk na nashida ya pesa! Nahtaj kuelekezwa namna ya kuamisha pesa toka CRDB kwenda m pesa kwakutumia sim bank Click to expand... *150*03# Kama haujajisajili ndo basi tena
ARV JF-Expert Member Joined Sep 6, 2011 Posts 5,535 Reaction score 7,946 Oct 5, 2014 #4 Piga *150*03# ujisajili, then unahamisha pesa kiulaini.
kalendi JF-Expert Member Joined Mar 17, 2012 Posts 1,348 Reaction score 559 Oct 5, 2014 #5 ARV said: Piga *150*03# ujisajili, then unahamisha pesa kiulaini. Click to expand... Jambo la msingi asisahau wakati anafanya hili zoezi lazima kuwa na kadi yake ya ATM
ARV said: Piga *150*03# ujisajili, then unahamisha pesa kiulaini. Click to expand... Jambo la msingi asisahau wakati anafanya hili zoezi lazima kuwa na kadi yake ya ATM