Msaada tafadhali, anataka kuniroga

---- we ulijua fika mke wa mtu alafu ukamdandia lazima akukojoleshe dagaaaa huyo..mke wa mtu ni sumu
 
Mimi nikimwona mtu mzima amevaa Mlegezo hata akifanya jambo zuri kiasi gani imani yangu inabaki palepale kua ni mgonjwa wa akili na akiwa amenyoa kiduku hata fanyeje mi nabaki nikiamini kua hajui anachofanya. Kwa hiyo wewe hata ukifa Taifa halitapoteza maana we ni mzigo kwa nchi hii inayoendelea.
 

elimu yako darasa la ngap?? Kama kuandika kwenyew F, hekima na busara F, akili ya kuzaliwa F , uzinzi A. Sasa unafikir unafaida gani ww si bora urogwe tu
 
elimu yako darasa la ngap?? Kama kuandika kwenyew F, hekima na busara F, akili ya kuzaliwa F , uzinzi A. Sasa unafikir unafaida gani ww si bora urogwe tu

nimeuelewa ushauri wako
 
na wewe weka tangazo aliyeweka hiyo boxer unampa siku 3 asipoiondoa atapata mimba. ngoma droo
 

Babu!mmmh!hapo pagumu,ila uciende,
 
Embu jaribu kuwasiliana na Prof. Maji Marefu atakwambia cha kufanya,kama akiwa bize na Bunge la Katiba embu mtafute Dr Manyaunyau.
 
Jamani hiki ni kichekesho au kweli? maana nimejikuta nacheka tu
 
------- zako, ngoma huogopi unaogopa kurogwa,
Uchawi hauendi kwa mentali
 
Ulivyoandika....au ndio ameshakuloga tayari?safi sana tena naona amekuchelewesha siku 3 katoa zanini.....
 
mke wa mtu ningekuwa mimi sikulogi nakaa kimya ila nakuja kugonga nauliza hii boxer yako alafu mara kwa mara asubuhi au nikijua uko around natoa panga nje nanoa yaani sikusemeshi HIYO ITAKUA ADHABU KUBWA KULIKO
 
kama vipi we komaa tu mpaka mwisho uone kitakachotokea, anapiga mkwara tu huyo
 

Pole kijana. SASA lililo bakia ni kuimpokea Yesu kwanza. Halafu nenda katubu kwa Mume Mtu, hata kama akikuroga, uKiwa na Yesu unao ulinzi.

Pili ukome kula Uroda wake za watu hata kama wakikuvulia na au dondosha kanga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…