josephjul40 JF-Expert Member Joined Jan 16, 2012 Posts 218 Reaction score 40 Aug 2, 2012 #1 Jamani mnisaidie kufahamu namba ya mtu anayekutumia hizi sms za airtel chat, maana sasa inakuwa kero kuna watu wanasumbua sana, nahitaji kuweza kufahamu namba za huyo anayenitumia sms hizi za airtel chat. Msaada tafadhali.
Jamani mnisaidie kufahamu namba ya mtu anayekutumia hizi sms za airtel chat, maana sasa inakuwa kero kuna watu wanasumbua sana, nahitaji kuweza kufahamu namba za huyo anayenitumia sms hizi za airtel chat. Msaada tafadhali.