Msaada tacno p5

zakayoyoung

Senior Member
Joined
Apr 9, 2019
Posts
140
Reaction score
39
Jamani nisaidieni tatizo la simu yangu nilikua mtandaoni katika kuperuzi ikaganda tu ghalfa nikatoa betrii kuiweka ikawa inawaka tu tecno basi yaani hata niiache siku nzima itakua hivohivo tu

Wakuu naombeni utatuzi
Asanteni
 
Kama una Warrant card Nenda tecno Customer care
Ni Bure
Au
kama hauna Warrant nenda kwa wataalamu wa software wabadilishe File,limecorrupt hilo
Bei:Haitazidi 15000
 
Smart phone yangu ya 3 nilianza na
Tecno N3,P3 na P5 nayo hiyo P5 iliganda hivo, Peleka kwahiyo fundi wa kuflash itatengemaa kama bado unapenda itakugharimu Kati ya 10000/=
hadi 15000/=.
 
Asantee mkuu
Smart phone yangu ya 3 nilianza na
Tecno N3,P3 na P5 nayo hiyo P5 iliganda hivo, Peleka kwahiyo fundi wa kuflash itatengemaa kama bado unapenda itakugharimu Kati ya 10000/=
hadi 15000/=.
 
Jamani nisaidieni tatizo la simu yangu nilikua mtandaoni katika kuperuzi ikaganda tu ghalfa nikatoa betrii kuiweka ikawa inawaka tu tecno basi yaani hata niiache siku nzima itakua hivohivo tu

Wakuu naombeni utatuzi
Asanteni
Wow..the only tecno phone nlyotumia zaidi ya 5 months na nkaibiwa na mdada shabash kwnye daladala wayback.
Nljarb p6 hola,nkajarb moja hv bapa ina camera nzur zte hta mwez akukaa nazo .
P5 is the legend of tecno mkuu,umetshaa!
.
Tuje kwnye solution,anza na kutoa memorycard then washa,km bado ni easy tu fanya factory reset via buttons
 
Isije ikawa mpambano wa Trump na xhiji ping (jina la rais wa china mizinguo hata google wamelitoa ukisachi haliji)
 
Yeah hii simu ilikuwaga jiwe nakumbuka nilikaa nayo mwaka na miezi 8πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…