skis man, leo ijumaa nenda pale zero grossary kunakuwa bomba sana kuanzia saa mbili hadi nne night kuna totoz balaa. Ikifika saa nne nenda orion tabora hotel kuna zilipendwa na totoz classic ila bei yao mbaya. Saa sita am a saba hivi jimwage tabora one club mkabala na geti la chuo cha uhazili. Halo kesha,,,totoz balaa.
Kesho jumamosi asubuhi nenda ppp pub pale mkabala na geti la kitete hospitali kwa ajili ya supu. Baada ya supu unawez zuga kwa kwenda pale kwihara kutembelea tembe la dr livingstone ni bomba sana. Then saa sita hivi jimwage pale nbc club kwa ajili ya kitimoto. Tabora nzima walaji hukutana hapo jumamosi kwa ajili ya mdudu. Then saa kumi hivi jongea sehemu moja inaitwa mnadani ukale mbuzi wa kuchoma mkuu, bei no saw a na bure. Saa moja moja kaoge then jimwage frankman hotel pale ally hassan mwinyi stadium ushangae totoz then saa mbili hivi wahi orion hotel hii huwa lady's free huwa no mafuriko. Saa saba kamata zigo lako kaliumize.
Jumapili nenda kanisani katubu maujing.a uliyofanya pumzika then jiandae kurudi kwenu sijui wapi hata. Ukitaka taxi ya dereva muaminifu sema.
Need i say more?
Pangu pakavu.