wasalaam wakuu nina tablet yangu ya toshiba t100 imekatika waya fulani wa screen touch kwaiyo ina onesha tu ila huwezi fanya chochote kwasababu screen hai sence je ntapata fundi wapi mimi nipo arusha
ahsanteni
Ok,hiyo tablet yako ina Inch ngapi.? Ya kwangu ina Inchi 7 imevunjika kioo.Kama unaweza tubadilishane,nikupe waya wangu au wewe unipe kioo chako.Mimi pia nipo Sakina Arusha..! 0752489529