-recovery hio ni sehemu ya kunusuru kifaa chako unaweza futa vitu vyote na kuanza upya, unaweza kufuta cache, unaweza flash mambo madogo madogo kama modem, kernel, etc
-fastboot hii ni alternative ya recovery sema unaweza flash mambo mengi zaidi ya recovery. hapa utaweza flash simu nzima (kama unaipeleka kwa fundi kuflashiwa wanatumia hapa)
-normal mode hii ndio kawaida tablet inawaka
ushauri kama tatizo linaendelea hifadhi mambo yako muhimu ya kwenye hio tablet halafu ingia hapo recovery wipe data na cache halafu rudisha mambo yako uone kama tatizo litaisha.