Msaada Tab haisomeki kwenye tv

Msaada Tab haisomeki kwenye tv

Mayu

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2010
Posts
8,675
Reaction score
14,356
Wakuu habari

Na movie zangu nimedownload kwenye Tab nataka niziangalie kwenye Tv

Nina Samsung Galaxy Tab A ina run Lolpop
Kila niki connect kama mass storage kwenye Tv yangu Star-x, Tab haisomeki kwenye Tv

Nikiconnect Tab inaleta ujumbe na kunitaka nichague ku connect kwa MTP au kwa TPT
Option zote zinagoma Tab kuconnect kama mass storage

Star X sio smart Tv, na Tab haina memory card

Cha ajabu niki connect kwa tecno ya tochi inasoma vizuri tu,
 
Angalia spec za tv yako zinasoma nini na nini.
Pia jaribu mirror

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu tv sio smart tv sidhani kama mirror itaweza
Mi nataka kutumia tab yangu kama usb flash tu ili niangalie movies zangu

Nikichomeka flash inasoma
Nikichomeka simu ndogo ya tochi ya tecno inasoma

Ila tab aisomeki
 
Mkuu tv sio smart tv sidhani kama mirror itaweza
Mi nataka kutumia tab yangu kama usb flash tu ili niangalie movies zangu

Nikichomeka flash inasoma
Nikichomeka simu ndogo ya tochi ya tecno inasoma

Ila tab aisomeki
Ungenicheki mimi, nikurekebishie!!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom