T The Beast New Member Joined Oct 6, 2012 Posts 3 Reaction score 0 Oct 6, 2012 #1 Salamu kwa wanajukwaa, I am new but naamini mtanisaidia kuna chuo kinaitwa TAUC Tanzania aviation university college kipo Tabata Magengeni kinatoa kozi za upilot kuna mwenye taarifa kuhusu hiki chuo? Naomba kuwasilisha
Salamu kwa wanajukwaa, I am new but naamini mtanisaidia kuna chuo kinaitwa TAUC Tanzania aviation university college kipo Tabata Magengeni kinatoa kozi za upilot kuna mwenye taarifa kuhusu hiki chuo? Naomba kuwasilisha
A Andrew123 JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 8,413 Reaction score 11,247 Jun 15, 2016 #2 Urubani ukasomee Tabata Magengeni. Halafu utashangaa TCU na NACTE wana hizi taarifa miaka na miaka hawafanyi chochote.
Urubani ukasomee Tabata Magengeni. Halafu utashangaa TCU na NACTE wana hizi taarifa miaka na miaka hawafanyi chochote.
nyang'ari Member Joined Jan 12, 2016 Posts 57 Reaction score 38 Jun 17, 2016 #3 Hahaha! Jamani hii nchi, wanasubiri watoto wa watu wafike mwaka wa pili ndio wakifungie chuo
A Andrew123 JF-Expert Member Joined Jun 2, 2012 Posts 8,413 Reaction score 11,247 Jun 17, 2016 #4 Urubani beibiii. Utakuta hao wanafunzi akili yao yote wanawaza wakimaliza hapo direct ni kurusha ndege!
Urubani beibiii. Utakuta hao wanafunzi akili yao yote wanawaza wakimaliza hapo direct ni kurusha ndege!