Kwanza CPU haina taa ya orange ila kimazoea nimekuelewa!
Kwanza, hiyo husababishwa na umeme mdogo!
Pili, iwapo ni desktop ama tower PC, ndani kuna waya wa kutoka kwenye power supply kuingia kwenye motherboard inaitwa four pin connector, ikiwa loose kidogo pia hupelekea tatizo hilo!
Homa ikizidi muone daktari!