Wakuu habari zenu? Tafadhali naomba msaada wa ku-unlock T-Mobile HTC HD2. Nimeipata hii simu from us, ilishatumika lakini sifahamu last user alitumia service provider gani.
Nimetembelea google, zipo site kadhaa that claims they can unlock, lakini utaratibu wa kulipa online ni kikwazo kwangu(sina hii huduma).
Natanguliza shukrani.