inspectorbenja
JF-Expert Member
- Oct 14, 2012
- 635
- 705
Wadau salam.
Nina Suzuki Swift Second Generation 2008,engine yake ni K12B..Gearbox yake imekata CVT chain belt
Katika tafiti tafiti zangu nikagundua CVT chain belt zinauzwa Aliexpress.Ila mafundi wananitahadhalisha kuwa ni bora ninunue used complete .Maana naweza kubadilisha chain alafu bado ikasumbua
Naombeni ushauri au mawazo kwenye hili.
Je, ni sahihi kuagiza chain na kubadilisha?
Je, gearbox hizi mjini zipo na gharama yake ni kiasi gani?
Je, kuna mtu anayo humu aniuzie?
Wasalam