cleokippo
JF-Expert Member
- Dec 21, 2014
- 2,152
- 1,855
Nawasalimu kwa jina la jamhuri ya muungano wa Tanzania.
Nimatumain yangu nyote mko wazima & kwa wale wagonjwa mwenyezi mungu awatie nguvu. leo hii ni mekuja na mada moja inayoitwa hormone imbalance, hii kitu imekuwa ikimsumbua sana mke wangu hatmaye kushindwa kupata ujauzito hivyo kwa yeyote anayefahamu suluhu ya hili tatizo naomba atufahamishe pia kwa faida ya wengine.
Nawasilisha