K KDS Member Joined Apr 27, 2013 Posts 46 Reaction score 15 Dec 23, 2014 #1 Wakuu sina shaka mnaendelea na shughuli za ujenzi wa taifa letu. Kama nilivyotangulia kusema hapo juu nahitaji haraka sana program ya SPSS version 17. Computa yangu ni window 7, nipo Korogwe kwa wiki hii ya xmass. Alie tayari kwa logistics anipm.
Wakuu sina shaka mnaendelea na shughuli za ujenzi wa taifa letu. Kama nilivyotangulia kusema hapo juu nahitaji haraka sana program ya SPSS version 17. Computa yangu ni window 7, nipo Korogwe kwa wiki hii ya xmass. Alie tayari kwa logistics anipm.