Msaada spear za honda transalp

Msaada spear za honda transalp

ligolyser

Senior Member
Joined
May 9, 2013
Posts
155
Reaction score
15
Habari ndugu zangu,iv majuz nimeanguka na pikipiki ikaharibika vibaya mno,nimetafuta kila kona spear zake ambazo ni bumper za pembeni pamoja na show ya mbele inayoshika taa bt nimekosa,nimeenda mpaka uganda sijafanikiwa kupata pamoja na shockup za mbele ,kwa yoyote anaejua wapi zinauzwa au wapi naweza kuagiza basi anisaidie cz nipo ktk wakati mgumu ndugu zanguni,popote ntakuja kuchukua,asanten ,mawasiliano yangu ni 0756664797
 

Attachments

  • IMG-20131116-00053.jpg
    IMG-20131116-00053.jpg
    396.7 KB · Views: 58
  • IMG-20131108-00031.jpg
    IMG-20131108-00031.jpg
    495.1 KB · Views: 63
  • IMG-20131108-00032.jpg
    IMG-20131108-00032.jpg
    566.1 KB · Views: 55
Nenda kariakoo mtaa wa magila kuna jamaa anaitwa Faizzy anaweza kukusaidia, ila bei ndo utakoma !!
 
Bahati mbaya sina namba ya huyo jamaa kwa sasa !!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom