Msaada: Spea za pikipiki aina ya Skymark Winner

Msaada: Spea za pikipiki aina ya Skymark Winner

Jamani naombeni kujua wapi wanauza vipuri vya hizi pikipiki maana nmehangaika sana kupata hata sidecover na rims zake

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama upo Dar es Salaam nenda Mikocheni karibu na kituo cha Clouds Fm/Red Cross Society Kuna dealer anayeleta hizo pikipiki anaitwa Shinyanga Emporium utapata spea zote za Skymark na wana kituo cha service.
 
Mikoani pia wana maduka yao hao Shinyanga Emporium wanauza vifaa vya Skymark na baiskeli.
 
Back
Top Bottom