Ila inawezekana mkuu ya altezza ikawa bei ghali nimecheka hapa internet used kenya ni 10,000kes ambazo roughly ni kama 240000 za tz. Na engine 3s na inaingiliana na rav4, caldima, celica, vista, camry, avensis, corona
3S YAMAHA ni engine tofauti kabisa, na haifungi kwenye hizo ulizotaja, hiyo ina extra power na ilitengenezwa ki sports zaidi.
Sio kila alteza huwa inakuja na engine 3S YAMAHA, Nyingine huwa zinakuja na engine 3S ya kawaida ambayo ndio zinaweza zikafungwa katika gari ulizozitaja.
Kwa mahitaji ya engine na spea used za magari tofauti WhatsApp 0712 148001