Mbabani JF-Expert Member Joined Jun 20, 2022 Posts 2,369 Reaction score 6,717 Oct 10, 2024 #1 Habari wakuu. Napata shida kutumia simu aina ya Sony xz1. Kila nikitaka kununua kifurushi inatakiwa niwashe data. Hata kama nabonyeza menu ya M PESA (*150*00#) JE NIFANYEJE?
Habari wakuu. Napata shida kutumia simu aina ya Sony xz1. Kila nikitaka kununua kifurushi inatakiwa niwashe data. Hata kama nabonyeza menu ya M PESA (*150*00#) JE NIFANYEJE?
Xiao qui shui JF-Expert Member Joined Feb 26, 2022 Posts 6,195 Reaction score 10,821 Oct 10, 2024 #2 Ngoja waje kukupa ushauri
Bueno JF-Expert Member Joined Aug 16, 2022 Posts 34,610 Reaction score 59,577 Oct 10, 2024 #3 Mbabani said: JE NIFANYEJE? Click to expand... Washa tena data kisha zima halafu washa tena jiunge kifurushi cha Mwezi
Mbabani said: JE NIFANYEJE? Click to expand... Washa tena data kisha zima halafu washa tena jiunge kifurushi cha Mwezi