Habari zenu wadau,..
Ninatumia laptop aina ya Sony Vaio (VPCEG 25FX).
Leo nimepata tatizo kama ifuatavyo,..
Kila nikiiwasha inawaka bt ikifikia screen kudesplay folder (desktop) tu inajizima (na kimlio flani kinasikika kama ukiilazimisha computer kuzima kwa kupress power button),.
Msaada tafadhali kwa anayejua tatizo hili.
Naomba kuwasilisha!!