S shule e Member Joined Oct 19, 2016 Posts 28 Reaction score 23 Apr 13, 2018 #1 Habari, Mimi ni mkazi wa dar es salaam, najihusisha na biashara ya parachichi na matunda mengine kutoka mkoani jumla na reja reja, naleta kwa order, naomba msaada zaidi kwa soko la parachichi na mastaferi. Natanguliza shukrani.
Habari, Mimi ni mkazi wa dar es salaam, najihusisha na biashara ya parachichi na matunda mengine kutoka mkoani jumla na reja reja, naleta kwa order, naomba msaada zaidi kwa soko la parachichi na mastaferi. Natanguliza shukrani.