Benjamini Netanyahu
JF-Expert Member
- Aug 7, 2014
- 102,675
- 126,903
Kama unazo tuwasiliane 0655509828Jamani wana jamii forum tusaidieni mliopo mjini soko la mbaazi huku kwetu Manyara bei imegoma na muda wa kuanza kilimo umekaribia hatuna namna mbaazi ndiyo mkombozi wetu. mwaka jana kampuni ya Bakhresa walikuwa wananunua lakini mwaka huu hatuwaoni. mwenye kujua soko la mbaazi atujulishe.
Asanteni sana.
Kama unazo tuawsiliane 0655509828Jamani wana jamii forum tusaidieni mliopo mjini soko la mbaazi huku kwetu Manyara bei imegoma na muda wa kuanza kilimo umekaribia hatuna namna mbaazi ndiyo mkombozi wetu. mwaka jana kampuni ya Bakhresa walikuwa wananunua lakini mwaka huu hatuwaoni. mwenye kujua soko la mbaazi atujulishe.
Asanteni sana.
Una nunua bei gani?Nitafute 0713338705 niko Dar
Uko Manyara sehemu gani?Unauzaje kwa kg?Jamani wana jamii forum tusaidieni mliopo mjini soko la mbaazi huku kwetu Manyara bei imegoma na muda wa kuanza kilimo umekaribia hatuna namna mbaazi ndiyo mkombozi wetu. mwaka jana kampuni ya Bakhresa walikuwa wananunua lakini mwaka huu hatuwaoni. mwenye kujua soko la mbaazi atujulishe.
Asanteni sana.
mbaazi ya masasi inanunuliwa sh.1200 kwa kg sasa..ungejitahidi uilete dar kwa wahindi pale bandarini..nicheJamani wana jamii forum tusaidieni mliopo mjini soko la mbaazi huku kwetu Manyara bei imegoma na muda wa kuanza kilimo umekaribia hatuna namna mbaazi ndiyo mkombozi wetu. mwaka jana kampuni ya Bakhresa walikuwa wananunua lakini mwaka huu hatuwaoni. mwenye kujua soko la mbaazi atujulishe.
Asanteni sana.
Vipi solo la mbaazi kwa sasa DSM?mbaazi ya masasi inanunuliwa sh.1200 kwa kg sasa..ungejitahidi uilete dar kwa wahindi pale bandarini..niche
cpm nikupe contacts